Maswali yaibuka kuhusu uwenyeji wa Marekani wa Kombe la dunia baada ya mchezaji wa Iraq atiwa mbaroni masaa 7
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeingia kwenye darubini baada ya mfungaji bora wa timu ya taifa ya Iraq kuzuiliwa kwa saa saba nchini Marekani akichukuliwa kama mshukiwa. Tukio…