Ushirikiano kati ya Iran na China wazidi kuimarika licha ya safari ya Trump
Ushirikiano kati ya Iran na China umeendelea kuimarika huku mataifa hayo mawili yakikabili mazingira ya migogoro katika eneo na changamoto za kimataifa. Wachambuzi wanaueleza mwenendo huu kama chanya na unaotarajiwa…