Marekani Yaionya Iran: Trump Atishia Mashambulizi Makali Zaidi Huku “Muda Ukiyoyoma”.
Kulingana na ripoti kutoka mtandao wa Axios, Donald Trump ametoa onyo kali kwa taifa la Iran kupitia mazungumzo ya simu, akisisitiza kuwa “muda unayoyoma.” Ameonya kwamba ikiwa Iran haitakubali mkataba…