China na Georgia Zainua Uhusiano hadi Ushirikiano wa Kimkakati wa Kina
Marais wa China na Georgia wametangaza rasmi kuinua kiwango cha uhusiano wa nchi zao hadi ushirikiano wa kimkakati wa kina, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi kati…