“Hatupokei wachochezi” Austria yampiga marufuku waziri wa Israel, Itamar Ben-Gvir
VIENNA, AUSTRIA – Shinikizo dhidi ya viongozi wenye msimamo mkali nchini Israel limezidi kupamba moto barani Ulaya baada ya nchi ya Austria kutangaza kuunga mkono pendekezo la kupigwa marufuku kwa…