Israel yamkaribisha balozi wa kwanza wa Somaliland
Israel imepokea rasmi balozi wa kwanza kabisa wa Somaliland, Mohamed Hagi, ikiwa ni hatua muhimu ya kidiplomasia huku pande zote zikiahidi kuimarisha ushirikiano katika biashara, usalama na mahusiano ya kikanda.Balozi…