Marekani Yathibitisha Kufanya Mashambulizi Kusini mwa Iran, Yakana Kukiuka Usitishaji wa Vita.
Makubaliano ya kusitisha mapigano yameripotiwa kukiukwa na Marekani kufuatia uthibitisho kutoka kwa vikosi vyake kuhusu kutekeleza mashambulizi katika maeneo ya kusini mwa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la…