Hofu ya Udukuzi: Ujumbe wa Marekani Watupa Zawadi za China Jalalani Kabla ya Kupanda Air Force One
BEIJING: Katika kile kinachoonekana kama hatua kali za kiusalama, wajumbe wa Marekani wameripotiwa kutupa zawadi zote walizopewa na wenyeji wao nchini China kabla ya kupanda ndege ya Rais, Air Force…