“SYRIA ITAWAFAGIA!”: Trump Aishauri Israel Kuiachia Syria Jukumu la Kupambana na Hezbollah
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala mzito katika mkutano wa kilele wa G7 nchini Ufaransa baada ya kuishauri Israel…
Hillary Clinton: Kwa muda mrefu Netanyahu amekuwa na shauku iliyopitiliza ya kuiangamiza Iran
WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu mahusiano yake…
Elon Musk Aweka Rekodi ya Kipekee ya Utajiri Duniani Baada ya Hisa za SpaceX Kupanda
WASHINGTON, Marekani – Bilionea Elon Musk amevunja rekodi ya kihistoria baada ya utajiri wake kuongezeka kwa takriban dola bilioni 164.8…
Korea Kusini yatangaza kupunguza vizuizi katika ukanda wa mpaka na Korea Kaskazini
Serikali ya Korea Kusini imetangaza mpango mpya wa kupunguza baadhi ya vizuizi katika ukanda unaodhibitiwa na jeshi kando ya mpaka…
Ufaransa Yatafuta Mshirika Mpya wa Kijeshi kwa UAE Baada ya Mradi wa FCAS Kukwama
PARIS/ABU DHABI – Ufaransa inafanya mazungumzo ya siri na Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kuunda ushirikiano mpya wa…
China na Myanmar Zaimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kiusalama
BEIJING, CHINA – Rais wa China, Xi Jinping, amekutana na kiongozi wa Myanmar, Min Aung Hlaing, mjini Beijing, katika mkutano…