Trump Aomboleza Vifo vya Wanajeshi Marekani Jordan, Aendelea Kutoa Onyo kwa Iran
Washington, Marekani — Rais wa Marekani Donald Trump amesema anasikitishwa na kifo cha wanajeshi wawili wa Marekani waliouawa nchini Jordan, huku akisisitiza kuwa Iran haitakiwi kumiliki silaha za nyuklia. Kauli…
Iran Yalenga Miundombinu ya Kijeshi Kuwait, Ndege Mbili za Kivita Zaharibiwa
KUWAIT CITY – Ndege mbili za kivita aina ya Eurofighter Typhoon za Jeshi la Anga la Kuwait zimeripotiwa kuharibiwa baada ya shambulio la kombora la balestiki la Iran kulenga makazi…
CENTCOM yakiri vifo vya wanajeshi wawili wa Marekani nchini Jordan baada ya mashambulizi ya Iran
Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa nchini Jordan na mwingine bado hajulikani alipo, kufuatia mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) yanayodaiwa kufanywa na Iran. Kamandi Kuu…
The Guardian: Trump, Sio Iran, Ndiye Tishio Kubwa Zaidi kwa Dunia
Mgogoro kati ya Marekani na Iran umeingia katika hatua yenye wasiwasi mkubwa, huku mashambulizi ya kijeshi yakiendelea kuongeza hofu ya vita vya muda mrefu ambavyo vinaweza kuathiri siasa za kimataifa,…
Ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Iran kuhusu tukio kubwa la kumuaga kiongozi aliyeuwawa na kueleza masuala muhimu ya nchi
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Enyi wananchi wakuu na wenye kushangaza wa Iran! Salamu, heshima na shukrani kwenu kwa sababu kupitia tukio lenu kubwa, la…
Kundi la mtandao la Iran laharibu terabaiti 120 za taarifa za kifedha za Israel
Kundi linaloitwa Jukwaa la Msaada wa Kielektroniki (Cyber Support Front) limedai kufanya shambulio kubwa la kimtandao dhidi ya taasisi za kifedha za Israel, likisema limeharibu takribani terabaiti 120 za taarifa…
Macron kuzuru Nigeria katika hatua mpya ya kuimarisha uhusiano wa kimkakati na Abuja
Macron kuzuru Nigeria katika hatua mpya ya kuimarisha uhusiano wa kimkakati na Abuja Ufaransa na Nigeria zinaelekea kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi, huku Rais Emmanuel Macron…
Utata Israel: Mpango wa Ben-Gvir wa Kutumia Mamba Kulinda Gereza la Wapalestina Wazua Mjadala
TEL AVIV – Serikali ya Israel imeripotiwa kuondoa vikwazo vya kisheria vinavyohusiana na ufugaji wa mamba, hatua inayofungua njia kwa mpango wa Waziri wa Usalama wa Taifa, Itamar Ben-Gvir, wa…
Mashambulizi ya Marekani Hormozgan Yaua Watu 8, Mtoto wa Mwaka Mmoja Apoteza Kiungo
HORMOZGAN, IRAN – Mashambulizi ya Marekani katika Mkoa wa Hormozgan kusini mwa Iran yamesababisha vifo vya watu wanane na majeraha makubwa kwa mtoto wa mwaka mmoja, kwa mujibu wa taarifa…
IRGC: Meli Mbili za Mafuta Zaharibiwa Baada ya Kuingia Eneo Marufuku Lililotegwa Mabomu
TEHRAN – Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema kuwa meli mbili za kubeba mafuta zimelipuka na kushika moto baada ya kuingia katika eneo lililotegwa mabomu…