Papa Leo: Vita dhidi ya Iran ‘Sio vya haki’
Katika kauli yenye ukali dhidi ya sera za Rais wa Marekani Donald Trump, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesema kwamba vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran havina uhalali…
Katika kauli yenye ukali dhidi ya sera za Rais wa Marekani Donald Trump, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesema kwamba vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran havina uhalali…
Mwamuzi nyota kutoka Somalia, Omar Artan, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kunyimwa ruhusa ya kuingia nchini Marekani, hali ambayo imezua maswali mengi kuhusu hatma yake ya kuchezesha katika michuano…
Afisa mwandamizi wa Iran; Mohsen Rezaee:Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa imetangaza mara kwa mara kwamba haitavumilia ukiukaji wa usitishaji vita au uchokozi dhidi ya Lebanon. Usiku wa leo, wachokozi…
SIKU nne zilizopita, mhamiaji kutoka Msumbiji, Lado Amido, alifungua mlango wake baada ya kusikia hodi katika mji wa Kleinmond nchini Afrika Kusini. Alipofungua, alikutana na umati wenye hasira uliomwambia kuwa…
AFUENI KWA KENYA BAADA YA KUANZA kuzalisha mafuta kabla ya mwisho wa mwaka huu kutoka kaunti ya Turkana kaskazini mwa nchi. Waziri wa Kawi na Mafuta Opiyo Wandayi hivyo Ijumaa…
“Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametoa tamko zito kuhusu hali ya usalama nchini Lebanon, akisisitiza kuwa hakuna makubaliano yoyote ya kusitisha mapigano yanayoendelea katika eneo hilo. Katika taarifa…
Waziri wa Hazina wa Marekani amesema katika mahojiano na Fox News kwamba Marekani inaweka mbele masuala matatu kama kigezo cha “kumaliza kazi” katika mazungumzo yanayohusiana na Iran, huku akirudia madai…
Tuna nchi kumi na tano jirani, miongoni mwao zipo kwenye nchi kavu na zengine baharini, na tumekuwa tayari kila wakati kuanzisha uhusiano mzuri pamoja na kila nchi, lakini baadhi ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Ijumaa kwamba mabadilishano ya ujumbe kati ya Iran na yanaendelea, lakini hadi sasa hakuna mwafaka wa mwisho uliofikiwa huku akisisitiza…
Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha kwa muda kuanzishwa kituo cha karantini kwa wagonjwa wa Ebola raia wa Marekani, kilichotarajiwa kujengwa nchini humo. Kufuatia uamuzi huo, wakuu wa Marekani wamedai kuwa…