Muungano wa Madaktari Kenya waipa serikali masaa 48, Hatutaki Ebola Kenya
Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) umepatia serikali muda wa saa 48 kueleza hadharani masharti kamili ya makubaliano yake na Marekani au ikabiliwe na mgomo…