Iran yadaiwa kuharibu ndege zisizo na rubani za Marekani zenye thamani ya mabilioni
TEHRAN – Ripoti mpya ya shirika la habari la Bloomberg imebainisha kuwa, tangu kuanza kwa mzozo wa sasa, Iran imefanikiwa kutungua zaidi ya ndege zisizo na rubani (drones) za Marekani…