Ni kwanini Muhoozi alitoa amri ya kufungwa kwa vyombo vya habari vya N.M.G ?
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameagiza kufungwa kwa runinga za NTV Uganda na Spark TV zinazomilikiwa na Nation Media Group (NMG), akieleza kutoridhishwa kwake na…