Ordoga alalama nchi yake kufungiwa mlango wa kujiunga na Umoja wa nchi za Ulaya
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametangaza wazi kuwa azma ya nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU) si kipaumbele kikuu cha sera za kigeni za Ankara kwa sasa,…
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametangaza wazi kuwa azma ya nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU) si kipaumbele kikuu cha sera za kigeni za Ankara kwa sasa,…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameishambulia serikali ya Uingereza inayoongozwa na Chama cha Labour, akiita nchi hiyo kwa jina la kejeli “Jamhuri ya Kiislamu ya Uingereza”, huku mvutano kati…
Rais Vladimir Putin ameonya kuwa Russia itajibu kwa hatua sawia iwapo nchi za Ulaya zitaanza kukamata meli za kibiashara za Russia, akisema Moscow inaweza kuchukua hatua hiyo hata katika maeneo…
Mashambulizi ya Iran dhidi ya kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Jordan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi watatu wa Marekani Julai 17, yanaonyesha jinsi uwezo wa Tehran katika matumizi ya makombora…
Hamas imesema inaunga mkono kwa nguvu kauli za Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Mohsen Rezaei, kuhusu umuhimu wa kumaliza vita katika eneo lote la Mashariki…
Uganda imemuidhinisha mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe Olara Otunnu kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa (UN). Otunnu, ambaye anaungwa mkono na serikali…
Kwa mujibu wa CNN, Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi ya Marekani, Jenerali Dan Caine, amewaeleza kwa faragha baadhi ya washauri wakuu wa Rais Donald Trump kwamba Washington inahitaji kutafuta “njia…
Kwa mujibu wa uchambuzi wa The Telegraph ulioandikwa na Roland Oliphant, Iran imeibuka ikiwa na nafasi yenye nguvu zaidi kimkakati baada ya vita, licha ya hasara kubwa za kibinadamu na…
WASHINGTON, MAREKANI — Balozi wa Malaysia nchini Marekani ameitwa kwa dharura katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (State Department) jijini Washington, kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge wa…
Serikali ya Marekani, ikishirikiana na Uingereza, inapanga kuandaa mkutano wa ngazi ya juu wiki ijayo mjini London lengo likiwa ni kuunda muungano wa kimataifa wa kijeshi ili kulinda na kufungua…