Mazungumzo ya siri Moscow: Mkurugenzi wa shirika la ujasusi Marekani “CIA” atua Urusi
WASHINGTON / MOSCOW Mkurugenzi wa Shirika Kuu la Ujasusi la Marekani (CIA), John Ratcliffe, amesafiri usiku kuelekea mji mkuu wa Urusi, Moscow, kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya faragha na…