Askofu Bagonza: Hakuna dhehebu lenye uwezo wa kutuchagulia rais, Akanusha njama za 2030
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza amesema Kanisa hilo halijawahi kukaa kikao chochote cha kupanga Rais ajae wala hakuna Dhehebu lenye…