Waziri wa Israel ashinikiza Gaza itekwe kikamilifu na ikaliwe kimabavu na walowezi wa Israel
TEL AVIV, ISRAEL Waziri wa Fedha wa Israel, Bezalel Smotrich, ametoa kauli nzito akitaka nchi hiyo kuchukua hatua za kijeshi na kisiasa za kudumu katika Ukanda wa Gaza. Smotrich amesisitiza…