Mvutano wa nyuklia: Iran yagomea pendekezo la Marekani lakuhamisha Urani nje ya nchi
Kwa mujibu wa chanzo cha Iran kilichonukuliwa na Al Jazeera, Washington iliwasilisha pendekezo linalodai kupatiwa urani iliyoboreshwa kwa kiwango cha juu cha asilimia 60.Chanzo hicho kilieleza kuwa Washington ilikataa mpango…