Maandamano Dhidi ya Netanyahu: Vyombo vya Dola Vyaingilia Kati Kudhibiti Umati Tel Aviv na Jerusalem
Taarifa kutoka katika vyombo vya habari zinaonyesha kuwa mamia ya waandamanaji walijitokeza barabarani wakipinga serikali ya Netanyahu, huku vikosi vya usalama vikisimamisha magari ya kupambana na ghasia pamoja na kutumia…