Ufaransa yathibitisha kisa cha kwanza cha Ebola kutoka Congo
Serikali ya Ufaransa imethibitisha kisa chake cha kwanza cha ugonjwa wa Ebola kinachohusiana na mripuko unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kisa hicho kimebainika baada ya daktari mmoja, aliyekuwa…