Joseph Kabila amelaani vikwazo vya Marekani, asema sio halali
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, amelaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa madai ya kuwaunga mkono waasi wa AFC/M23 mashariki mwa Kongo na kuvitaja…
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, amelaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa madai ya kuwaunga mkono waasi wa AFC/M23 mashariki mwa Kongo na kuvitaja…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyed Abbas Araghchi, leo Jumatano amefanya mazungumzo ya simu na Musalia Mudavadi, Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya…
Mahakama nchini Afrika Kusini yamtimua mtoto wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Kenya na Uganda ziko kwenye mazungumzo ya kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta nchini Tanzania ili kupunguza utegemezi wa bidhaa za petroli zinazoagizwa kutoka nje, na kuhudumia nchi zinazozalisha mafuta ndani…