Moshe Ya’alon akiri kushindwa kwa Operesheni za kijeshi dhidi ya Iran
TEL AVIV, ISRAEL – Moshe Ya’alon, aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa utawala wa Israel, ametoa kauli nzito ya kukiri kuwa mashambulizi ya kijeshi yaliyoelekezwa dhidi ya Iran hayakufikia malengo yoyote…