Iran yaonya Ufaransa na Uingereza dhidi ya kupeleka manowari katika Mlango wa Hormuz.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, ameonya Ufaransa na Uingereza…
Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesisitiza haja ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa pande mbili na Vietnam.
Balozi mpya wa Iran nchini Vietnam, Javad Ghasemi, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, siku…
Meli ya gesi ya Qatar yaripotiwa kupita Mlango wa Hormuz kwa ruhusa ya Iran
Meli ya kubeba gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) inayomilikiwa na Qatar, iitwayo “Al‑Khariyat”, imetuma ishara katika maji ya Bahari ya Oman,…
‘Usaliti’ au Uhuru? tetesi UAE kujindoa katika umoja wa nchi za kiarabu ili kuikumbatia Israel
Baadhi ya vyanzo vya habari vinaripoti uwezekano wa Falme za Kiarabu (UAE) kujiondoa katika Umoja wa Nchi za Kiarabu, wiki…
Mwakilishi wa Bunge la Marekani asema Trump ni tishio kwa usalama wa nchi
Mwakilishi wa Chama cha Democratic katika Bunge la Marekani, Seth Moulton, amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump ni tishio…
Putin: Kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakuna faida kwa yeyote
Putin amesema kuwa kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakutanufaisha upande wowote. Amesema pia kuwa mgogoro huo ni…