Baada ya Trump; Putin kuzuru China wiki ijayo – je China ndiye mkuu mpya?
Rais wa Urusi Vladimir Putin anatarajiwa kufanya ziara nchini China wiki ijayo. Hayo yameripotiwa Ijumaa na gazeti la South China Morning Post likinukuu vyanzo vinavyofahamu maandalizi ya safari hiyo. Kwa…