Mkasa wa moto Utumishi Girls: Wanafunzi zaidi ya 10 wakamatwa huku uchunguzi ukishika kasi
KENYA– Jeshi la polisi limeanza kuwazuilia wanafunzi zaidi ya 10 wa Shule ya Wasichana ya Utumishi (Utumishi Girls Academy) kwa ajili ya mahojiano, kufuatia mkasa wa kusikitisha wa moto ulioteketeza…