Kiongozi wa RSF Hemedti na Wenzake 15 Wahukumiwa Kifo kwa Kunyongwa Sudan
PORT SUDAN, Julai 13 – Mahakama ya Kupambana na Ugaidi na Makosa Dhidi ya Taifa nchini Sudan imemhukumu kiongozi wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo maarufu…