Ugiriki: Shambulio la Mabomu Kwenye Makazi ya Wanasiasa Lalisababisha Kifo na Majeraha
Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa vibaya kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya mabomu yaliyolenga makazi ya wanasiasa watatu wa chama tawala cha New Democracy katika mji wa Thessaloniki,…