“MUNGU ASHUKURIWE!”: Papa Leo XIV Afurahia Marekani na Iran Kusitisha Vita, Ataka Mazungumzo Yaendelee
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametoa kauli ya shukrani akisema “Mungu ashukuriwe” baada ya mataifa ya Marekani na Iran kutangaza rasmi kusitisha mapigano na kuanza mpango wa…