Dada wa Rais wa Ireland, Dr. Margaret Connolly Akamatwa na Vikosi vya Israel Katika Msafara wa Global Sumud”.
Makomando wa Israel leo wamevamia na kuzuia meli za msafara wa Global Sumud Flotilla (GSF) takribani maili 250 za baharini kutoka Gaza katika maji ya kimataifa. Waziri Mkuu wa Israel,…