Obama “Vita vya Trump dhidi ya Iran vimefeli, hakuna njia mbadala isipokuwa suluhisho la kidiplomasia
WASHINGTON, MAREKANI Aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa kauli nzito akikosoa vikali sera za Donald Trump, kuhusiana na mzozo kati ya Marekani na Iran. Katika kile kinachoonekana kama tathmini…