Nyaraka za Siri Zafichua: Jinsi Marekani Ilivyoshinikiza Kuondolewa Madarakani kwa Imran Khan
Waraka wa siri wa kidiplomasia wa Pakistan uliotolewa kwa mara ya kwanza tarehe 18 Mei, unathibitisha kuwa mwanadiplomasia mkuu wa Marekani alishinikiza kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi…