India na UAE Zasaini Mikataba Mpya ya Ulinzi na Nishati Wakati wa Ziara ya Narendra Modi.
Serikali za India na Falme za Kiarabu (UAE) zimesaini mikataba mipya inayohusu ulinzi na usambazaji wa mafuta ya petroli wakati wa ziara ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa India, Narendra…