Marekani Yaapa Kuivunja Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Yatoa Wito kwa Mataifa Mengine Kuungana Nayo
WASHINGTON, Marekani – Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameapa kuichukulia hatua kali Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akisema utawala wa Rais Donald Trump umejipanga “kuivunja”…