FIFA Yapiga Marufuku Benderaya Iran ya “Simba na Jua” kwenye Kombe la Dunia 2026.
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa litaendelea kupiga marufuku kuingizwa kwa bendera ya kabla ya mapinduzi ya Iran inayojulikana kama “Simba na Jua,” pamoja na mavazi yenye nembo hiyo,…