Armenia nchi ya kwanza kununua Mtambo wa Ulinzi wa Iran “Majed” uliyopiga ndege za Marekani
TEHRAN/YEREVAN — Katika hatua inayoashiria mabadiliko makubwa ya kiusalama, taifa la Armenia inaripotiwa kusaini mkataba wa siri wa ununuzi wa silaha wenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 na…