Hormuz : Mshipa Mkuu wa Intaneti ya Dunia
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Taarifa kutoka katika vyombo vya habari zinaonyesha kuwa mamia ya waandamanaji walijitokeza barabarani wakipinga serikali ya Netanyahu, huku vikosi vya usalama vikisimamisha magari ya kupambana na ghasia pamoja na kutumia…
Rais wa Urusi amesema kuwa kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama katika Mashariki ya Kati kutaleta hasara kwa pande zote, akisisitiza kuwa Moscow inatumaini mgogoro unaohusiana na Iran utapatiwa suluhisho…
Kampuni ya Trump Media and Technology Group, mmiliki wa jukwaa la Truth Social lililoanzishwa na Rais wa Marekani Donald Trump, imeripoti hasara halisi inayozidi dola milioni 400 katika robo ya…
Jeshi la Wanamaji la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran limetoa onyo kwamba shambulio lolote dhidi ya meli zake za mafuta au meli za kibiashara litajibiwa…
Afisa wa zamani wa usalama wa Netanyahu akamatwa kwa tuhuma za kumshawishi mtoto Mamlaka nchini Marekani zimemtangaza kukamatwa kwa Matthew Mahl, aliyewahi kuwa mkuu wa usalama wa Waziri Mkuu wa…
Rais wa Marekani amewaambia waandishi wa habari kwamba iwapo makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayatafikiwa, Marekani “itachukua mkondo tofauti.” Kisha akaongeza kuwa ikiwa makubaliano hayo hayatapatikana, Marekani itarejea…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyed Abbas Araghchi, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, wamefanya mazungumzo kwa simu Ijumaa jioni…
Mgombea wa urais wa Ufaransa, Jean-Luc Mélenchon, ametoa matamshi makali kuhusu sera ya mambo ya nje ya Ufaransa, akisema kuwa nchi hiyo inapaswa kujiondoa katika muungano wa kijeshi wa NATO…
Beijing — China imesema inaendelea kuwasiliana na pande zote husika, ikiwemo Iran, katika juhudi za kupunguza mvutano na kumaliza mapigano yanayoendelea katika eneo hilo.Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje…