Trump ashindwa na mchezaji Snuka wa Iran
Hossein Vafaei wa Iran amepata ushindi muhimu baada ya kumshinda Judd Trump, anayeshika nafasi ya kwanza duniani katika mchezo wa snuka. Katika pambano lililodumu kwa raundi tatu, Vafaei alifanikiwa kumtungua…