Google na Blackstone Kuanzisha Kampuni Mpya ya Wingu la AI.
Google kwa kushirikiana na kampuni ya uwekezaji Blackstone wanatarajiwa kuanzisha kampuni mpya ya kompyuta ya wingu inayolenga teknolojia ya akili bandia (AI), kwa kutumia vitengo vya usindikaji vya Tensor (TPU)…