Iran yalaani vikali NATO kwa kushiriki katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi yake
TEHRAN, IRANWizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kali baada ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya nchi za Magharibi (NATO) kukiri hadharani kuhusika kwa jumuiya hiyo…