Trump Aicharukia Seneti kwa Kupitisha Azimio la Iran, Aita Hatua Hiyo “Msaada kwa Adui”
WASHINGTON, D.C. — Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa majibu makali kufuatia uamuzi wa Seneti kupitisha azimio linalomtaka kusitisha vita dhidi ya Iran au kuomba idhini ya Bunge. Katika kauli…