utaridi
-

Pentagon yapunguza idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika vita vya Iran kutoka 18 hadi 14
Maafisa wa kijeshi na msemaji wa Pentagon wametoa maelezo yanayokinzana kuhusu kuondolewa kwa majina ya wanajeshi wanne waliouawa…
-

Iran yakataa pendekezo jipya la Marekani la kusitisha mapigano kuhusu mgogoro wa Hormuz
Pendekezo hilo liliwasilishwa Tehran na Waziri Mkuu wa Iraq, Ali al-Zaidi, baada ya kukutana na Rais Donald Trump…
-

Smotrich: Israel haina nia ya kujiingiza katika mzozo wa Marekani na Iran
Waziri wa Fedha wa Israel amesema hali ya sasa kati ya Marekani na Iran inanufaisha Israel, akisema Jerusalem…
-

Kamanda wa Jeshi la Ardhi la IRGC akagua vikosi vya operesheni katika visiwa vya kimkakati vya Ghuba ya Uajemi
Jenerali Mohammad Karami ametembelea vitengo vya kijeshi vinavyosimamiwa na Kamandi ya Mbele ya Madina Munawara, akitathmini utayari wa…
-

Wasira aiweka sawa Jumuiya ya Madola: “Tanzania haisubiri kuamrishwa”
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Tanzania iko tayari kupokea ushauri kutoka kwa washirika wa…
-

Pentagon yashutumiwa kuficha taarifa za majeruhi wa wanajeshi wa Marekani katika vita na Iran
Ripoti ya CNN yadai Idara ya Ulinzi ya Marekani imekuwa ikichelewesha kutangaza idadi ya wanajeshi waliojeruhiwa kutokana na…