Israel: kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa kilichopigwa na Iran chahitaji miaka 2 kurekebishwa
Viwanda vikubwa vya kusafisha mafuta nchini Israel (Bazan) vimepata pigo zito kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran, huku ripoti mpya ikifichua kuwa matengenezo hayo yatachukua hadi mwaka 2028 kukamilika. Licha…