TRUMP KIKAANGONI: Nyaraka Mpya za Epstein Zaibua Madai ya Unyanyasaji wa Binti wa Miaka 13
WASHINGTON, MAREKANI Shinikizo la kisheria limeongezeka dhidi ya Wizara ya Sheria ya Marekani kufuatia agizo jipya la mahakama linalotaka kuwekwa wazi kwa nyaraka nyeti zinazohusiana na mfanyabiashara marehemu Jeffrey Epstein,…