SIRI NZITO WHITE HOUSE: Trump Aacha maagizo ya Siri kwa Makamu Wake Kutumika Iwapo Atauawa
Rais wa Marekani Donald Trump ameripotiwa kuandika barua ya siri ambayo itatumika iwapo atafariki dunia au kuuawa. Taarifa hii imevutia…
Mwanamke mwenye asili ya kiirani ndiye chanzo cha Macron kuchapwa kofi na mkewe
Mwandishi wa jarida la Kifaransa la Paris Match, Florian Tardif, ametoa madai mapya kuhusu kile alichodai kuwa ni chanzo cha…
Mkuu wa Microsoft Israel Ajiuzulu Kufuatia Uchunguzi wa Matumizi ya Teknolojia Kuwapeleleza Wapalestina.
Mkuu wa tawi la Microsoft nchini Israel, Alon Haimovich, ameondoka rasmi kwenye wadhifa wake baada ya kuibuka kwa uchunguzi kuhusu…
Zohran Mamdani: Ni Wakati wa Kubadili Vipaumbele, Pesa za Vita Ziboreshe Maisha ya Marekani
Zohran Mamdani amesema kuwa mfumuko wa bei nchini Marekani umeongezeka hadi kufikia kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka…
Netanyahu na Mkuu wa Mossad walifanya ziara za siri UAE wakati wa vita dhidi ya Iran
🔹 Kituo cha 12 cha Israel, kikinukuu ofisi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, kilithibitisha kuwa Benjamin Netanyahu alifanya…
Taharuki Bungeni Baada ya Kengele ya Dharura Kulia Ghafla
Dodoma: Baadhi ya wabunge wamelazimika kutoka kwa tahadhari ndani ya ukumbi wa Bunge baada ya kengele ya dharura kulia ghafla,…