James Orengo: Niko tayari kukabiliana na Ruto katika uchaguzi wa mwaka 2027
Gavana wa Siaya, James Orengo, ametangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi…
Droni ya Marekani “MQ-9 Reaper” yadunguliwa mkoani Marib, Yemen
Yemen wadai kuitungua droni ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika eneo la Safer, mkoani Marib.Mpaka sasa, hakuna tamko rasmi…
Marekani na Israeli Zipo Tayari kwa Uwezekano wa Mashambulizi Dhidi ya Iran.
Kulingana na duru za kijeshi kutoka nchini Israeli zilizokaririwa na shirika la habari la Kan News, majeshi ya Marekani na…
Felicien Kabuga Mtuhumiwa wa Mauwaji ya Kimbari nchini Rwanda aaga dunia
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) yenye makao yake The Hague imetangaza kuwa mshukiwa wa mauaji ya kimbari…
Marekani Yaionya Iran: Trump Atishia Mashambulizi Makali Zaidi Huku “Muda Ukiyoyoma”.
Kulingana na ripoti kutoka mtandao wa Axios, Donald Trump ametoa onyo kali kwa taifa la Iran kupitia mazungumzo ya simu,…
Marekani Yaongeza Nguvu za Kijeshi Bahari ya Arabia Karibu na Iran.
Mei 16, 2026 — Jeshi la Wanamaji la Marekani limeongeza kwa kiasi kikubwa uwepo wake wa kijeshi katika Bahari ya…