Wanachama Watatu wa Civil Defense Wauawa Katika Shambulio la Israel Kusini mwa Lebanon
Civil Defense ya Lebanon imetangaza kuuawa kwa wanachama wake watatu wakati wakifanya operesheni ya uokoaji baada ya shambulio la anga la Israel kugonga jengo katika eneo la Majdal Zoun, wilaya…
Trump amvaa kansela wa Ujerumani baada ya kiongozi huyo kusema Marekani imedhalilishwa na Iran
Rais wa Marekani, Donald Trump, amemkosoa vikali Kansela wa Ujerumani Hasira ya Trump kwa Ujerumani kunatokana na kukiri kwake kudhalilishwa vibaya kwa Marekani mbele ya Iran. kufuatia kauli hiyo Rais…
Israel Inafanya “Mauaji ya Mazingira” nchini Lebanon kwa Gharama ya Jumla ya Dola Bilioni 25
Wizara ya Mazingira ya Lebanon inasema kuwa Israel inafanya “mauaji ya mazingira” kusini mwa Lebanon, kulingana na ripoti mpya inayofafanua uharibifu mkubwa wa ikolojia wakati wa uvamizi wa 2023–2024.Ripoti hiyo…
Marabi (viongozi) wa Kiyahudi wa mrengo wa kisasa nchini Uingereza Waonya kuwa Mwelekeo wa Sasa wa Israel Unaweza Kudhoofisha Maadili na Utambulisho wa Kiyahudi
Marabi wakuu wa Kiyahudi wa mrengo wa maendeleo nchini Uingereza wameonya kuwa mwelekeo wa sasa wa kisiasa wa Israel unawakilisha tishio kubwa kwa maadili na utambulisho wa Kiyahudi, wakisisitiza kuwa…
Viongozi wa chama cha Trump “Republicans” wamtaka kumaliza vita vya Iran kabla ya uchaguzi
Washington – Rais wa Marekani, Donald Trump, anafahamu kikamilifu athari za kisiasa ambazo vita vimeleta kwake na kwa chama chake, kwa mujibu wa vyanzo vitatu vinavyofahamu mashauriano ya hivi karibuni…
“Mwisho wa mgawanyiko”: Bennett na Lapid waungana rasmi kumbwaga Netanyahu
Waziri wakuu wa zamani wa Israel, Naftali Bennett na Yair Lapid, wametangaza kuunganisha rasmi vyama vyao na kuunda tiketi ya pamoja ya kisiasa itakayojulikana kama “Pamoja – Ikiongozwa na Naftali…
Wanaharakati wanaounga mkono Palestina “ulm 5” wafikishwa mahakamani Ujerumani kwa kesi ya kisiasa
Wanaharakati watano wanaounga mkono Palestina, wanaojulikana kama “Ulm 5,” wamefikishwa mahakamani nchini Ujerumani kufuatia tukio lililolenga eneo linalohusishwa na Elbit Systems mjini Ulm, ambapo wanatuhumiwa kusababisha uharibifu wa takriban euro…
Rais wa Ufaransa atafuta ushirikiano na Iran kuimarisha usalama Hormuz
A“Tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha kwamba usafiri katika Mlango-Bahari wa Hormuz unarejea katika hali ya kawaida,” alisema kiongozi huyo.
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, aonya kuhusu vikwazo kwa biashara zinazoshirikiana na mashirika ya ndege ya Iran.
Gazeti la WSJ linaripoti kuwa Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameonya kwamba biashara au watu binafsi wowote wanaojihusisha na mashirika ya ndege ya Iran wako katika hatari ya…
Newsweek: Kiwango cha kutoridhika na Trump chafikia rekodi mpya
Kiwango cha kutoridhika na utendaji wa Donald Trump kimefikia kiwango cha juu zaidi kulingana na wastani wa matokeo ya kura za maoni zilizoripotiwa na gazeti la New York Times. Takwimu…