Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba “Project Freedom,” mpango unaoongozwa na Marekani kwa ajili ya harakati za meli kupitia Mlango wa Hormuz, utasitishwa kwa muda.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa muda kwa mpango unaojulikana kama “Project Freedom,” ambao ni mpango unaoongozwa na Marekani uliolenga kuratibu na kulinda harakati za meli zinazopita katika…
Serikali ya Kenya Yashukuru Mapokezi ya Tanzania, Yaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kikanda
Serikali ya Kenya imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, pamoja na wananchi wa Tanzania kwa mapokezi ya kipekee na ukarimu waliouonyesha wakati wa…
Ripoti: Operesheni ya Ulinzi ya Marekani Haijabadilisha Hali ya Usafirishaji Hormuz
Ripoti iliyochapishwa na Axios inaonyesha kuwa operesheni ya ulinzi iliyoanzishwa na Marekani haikuleta mabadiliko makubwa katika saa 24 za kwanza za utekelezaji wake, hasa katika mtiririko wa mafuta na mizigo…
Trump Abadilisha Tena Ratiba ya Kumalizika kwa Uvamizi Dhidi ya Iran
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza tena muda mpya wa kumalizika kwa vita dhidi ya Iran, akisema kuwa mapigano hayo huenda yakachukua “wiki mbili hadi tatu zaidi”.
New York Times: Meli zimekataa kuvuka Mlango wa Hormuz licha ya kauli ya Trump
Makampuni ya usafirishaji baharini yameripotiwa kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kutuma meli zao kupita katika Mlango wa Hormuz, mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji wa mafuta duniani. Baadhi ya…
Ugiriki yafungua uchunguzi baada ya malalamiko ya Hind Rajab Foundation kuhusu uhalifu wa vita huko Gaza
Ugiriki Yaanza Uchunguzi Kufuatia Malalamiko Kuhusu Uhalifu wa Vita Gaza. Mamlaka za Ugiriki zimeanzisha uchunguzi wa awali kufuatia malalamiko ya kisheria yaliyowasilishwa mjini Athens na Hind Rajab Foundation kwa kushirikiana…
Kimya cha kushangaza cha al‑Joulani juu ununuzi wa ardhi za Syria na mashirika ya kiyahudi
Vyombo vya habari vya Kiarabu vimeripoti kuongezeka kwa ununuzi wa ardhi za kilimo kusini mwa Syria unaofanywa na watu wenye uraia wa nchi mbili wanaodaiwa kuwa na uhusiano na mashirika…
Rais Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wanaripotiwa kuwa wanashirikiana kusaidia kurejeshwa madarakani kwa Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernández.
Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, wanaripotiwa kushirikiana katika juhudi za kumuunga mkono Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernández, kurejea madarakani. Kwa mujibu wa uchunguzi…
Ghana, Nigeria zamwita balozi wa Afrika Kusini kuhusu chuki dhidi ya wageni
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.Katika…
Wabunge wa Marekani Wataka Uwazi Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Israel
Kundi la wabunge 30 wa Chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wameitaka Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kukomesha kile walichokiita “utata wa miongo kadhaa” kuhusu…