Iran yaishutumu UAE kwa ushirikiano na Marekani na Israel, yaonya kuhusu hatua ya kujibu
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeilaani Abu Dhabi kwa kushirikiana na Marekani na Israel dhidi ya Iran, hasa kwa kuruhusu kuwepo kwa kambi za kijeshi na vifaa vya…
Sudan yazituhumu UAE naEthiopia kwa shambulio lauwanja wa ndege wa Khartoum
Serikali ya Sudan imezituhumu Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Ethiopia kuhusika na shambulio la ndege zisizo na rubani (drones) lililolenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum, msemaji…
Iran yakana tuhuma za mashambulizi UAE yasema sio kawaida yake kuficha mapigo
Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al‑Anbiya amesema kuwa Iran itatoa “jibu kali na la kuangamiza” iwapo hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo itafanywa kutoka ardhi ya Umoja…
Iran yaharibu mpango wa Trump kuhusu Kombe la Dunia
Iran imevuruga mipango ya Rais wa Marekani, Donald Trump, si tu katika nyanja za uchumi, siasa na masuala ya kijeshi kufuatia mvutano kati ya pande hizo mbili, bali pia katika…
Waziri Araqchi: suluhu ya kijeshi ni jambo lisilowezekana
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, amesema kuwa matukio ya karibuni katika Mlango wa Bahari wa Hormuz yameweka wazi tena kwamba hakuna suluhisho la kijeshi kwa…
Makombora Mawili Yapiga Meli ya Kivita ya Marekani Baada ya Kupuuza Onyo la Iran
JASK, IRAN — Vyanzo vya habari vya eneo la Kusini vimeripoti tukio la mashambulizi ya makombora mawili yaliyolenga meli ya kivita ya Marekani katika maji ya karibu na Jask, nchini…
Mfalme Mohammed vi wa Moroko amemteua Moulay el Hassan kama mrithi ufalme
Mfalme Mohammed VI wa Morocco amemteua Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Mwanamfalme Moulay El Hassan (22), kushika wadhifa wa juu wa uratibu wa kijeshi ndani ya Vikosi vya Ulinzi vya…
Iran Yachunguza Majibu ya Marekani Kuhusu Pendekezo la Mazungumzo
Vyanzo vya habari vinaripoti kuwa Iran kwa sasa inachunguza majibu ya Marekani kuhusu pendekezo la maandishi lililowasilishwa katika mchakato wa mazungumzo unaoendelea. Ripoti ya hivi karibuni ya mtandao wa Al…
Je, Hii Ndiyo Mwisho wa Paul Biya? Hofu ya Wanajeshi Wenye Ujuzi wa Urusi Inavyoitikisa Kameruni
Katika nchi nyingi za Afrika, taarifa zinaonyesha kuwa raia wa kawaida wanashawishiwa na Urusi kwenda kupigana katika vita vya Ukraine. Hata hivyo, hali nchini Kameruni inaonekana kuwa ya kipekee kwa…
Ungamo la Mearsheimer Kuhusu uvamizi wa Iran: “Tulishindwa na Ilikuwa Kosa Kubwa la Kimkakati”
Hata hivyo, Mearsheimer alikiri kuwa hakuna hata lengo moja lililofikiwa. “Ukweli ni kwamba tulishindwa katika malengo yote manne, na kwa namna fulani tumeifanya hali kuwa mbaya zaidi,” alisema.