Wananchi wa Mali waandamana kumuunga mkono kiongozi wao wa kijeshi
Mamia ya waungaji mkono wa uongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Jumamosi walijumuika katika uwanja wa michezo katika mji mkuu, Bamako ili kuthibitisha uungaji mkono wao kwa serikali ya…
Ofisi ya Netanyahu yaishambulia Ulaya, yadai Israel inafanya “kazi chafu” kwa niaba yao.
Ofisi ya Benjamin Netanyahu imetoa shutuma kali dhidi ya mataifa ya Ulaya kufuatia mfululizo wa ukosoaji kuhusu upanuzi wa makazi ya walowezi wa Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi…
Mwanastratejia wa Democrat asema Wamarekani wana hasira kwa kupanda kwa bei ya petroli na chakula
Mwanastratejia wa Chama cha Democrat, Mike Nellis, amesema sehemu kubwa ya Wamarekani inaonyesha kutoridhishwa na jinsi Ikulu ya Marekani inavyoshughulikia mgogoro wa bei ya mafuta pamoja na upatikanaji wake. wKwa…
Ongezeko la vifo kabla ya Hija laibua taharuki nchini Saudi Arabia
Ripoti za kuongezeka vifo baina ya mahujaji waliokwenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija imezua wasiwasi na taharuki baina ya viongozi na wasimamizi wa ibada hiyo.Wasaudia wanasisitiza kwamba ongezeko la…
Mbunge wa Republican adai Trump alitumia veto kuzuia mradi wa maji Colorado kulipa kisasi cha Epstein
Mbunge wa Republican Thomas Massie ametoa madai kwamba rais wa Marekani Donald Trump alitumia mamlaka yake ya veto kama hatua ya kisiasa dhidi ya mbunge Lauren Boebert, kufuatia msimamo wake…
Times of Israel yateta unyama wa mazayuni: “tumechupa mipaka yote ya ubinadamu”
Gazeti la Times of Israel limetoa tahariri likikosoa vikali tukio la kufukuliwa kwa kaburi la Mpalestina linalodaiwa kufanywa na walowezi wakiwa chini ya uangalizi wa jeshi la Israel. Gazeti hilo…
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar asema Iran imeimarika baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar, Hamad bin Jassim Al Thani, amesema kuwa Iran imekuwa na nguvu zaidi kisiasa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na Marekani pamoja na Israel. Alieleza kuwa juhudi…
Saudi Arabia yaanza kupunguza uwekezaji mkubwa katika michezo, kunani?
Saudi Arabia imeanza kujiondoa katika baadhi ya miradi yake mikubwa ya uwekezaji, hasa katika sekta ya michezo, kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la The New York Times. WKatika kipindi…
Spika wa Bunge la Iran, Ghalibaf, aonya kuhusu uwezekano wa uchokozi wa kijeshi dhidi ya Iran.
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameonya kuhusu uwezekano wa hatua za kijeshi dhidi ya Iran, akisisitiza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo viko tayari kujibu kwa…
Trump Azungumza na Netanyahu Kuhusu Majibu ya Iran, Akataa Pendekezo la Tehran
Rais wa Marekani Donald Trump amesema amezungumza na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu majibu ya hivi karibuni ya Iran katika mazungumzo yanayoendelea kuhusu mgogoro huo. Trump alielezea mazungumzo…